How to Upload

To have your music promoted on our website, Send us an Email Everything is free.


Kagwirawo

Valu Valu - Jose chameleon

IntroIt’s been a looong… long, long, long time…(Paddy producer, audio one, come in!)ChorusBila valu valu baby,Naomba mi na wewe tuwe,Achana valu valu darling… naleli na lelio!Siina valu valu baby,Nataka mi na wewe tuwe,Achana valu valu darling… je t’aime, je t’aime je t’aime…Verse 1Kutoka tulipo kutana,Sija wai kufikiria tuta’achana,Lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana…Upendo gani na sikuoni baby?Upendo gani hupatikani honey?Upendo gani huniamini baby? Valu, valu, valu…Upendo gani na sikuoni baby?Upendo gani hupatikani honey?Upendo gani huniamini baby?Valu,valu,valu, valu, valu!(Chorus)Verse 2Uliemyafuta ulisha pataAnaekupenda sana kweli usiwai kataMimi na we, twende wote kwote unatakaTukae, tule, tunywe ujue mi nilisha data,Wasikudanganye eti sina uwezo,Ninao, na sio mchezo,Mbona kunipa mawazo,Hamua, hamua, hamua baby,Wasikudanganye eti sina uwezo,Ninao, na sio mchezo,Mbona kunipa mawazo,Hamua, hamua, hamua… valu, valu, valu!(Chorus)Verse 3Moyo wako ufungueUpendo wa ukweli uje uingieNacho omba kama niko na weweUtaratibu pekee baby tuendeleMimi na we, tuwe wote mileliMimi na we, mileli na mileli you ma babyMimi na we, nijali nami nitakujali,Mimi na we…Mimi na we, tuwe wote mileliMimi na we, mileli na mileli you ma babyMimi na we, nijali nami nitakujali….Mimi na we oh, na wewe…(Chorus)
Kagwirawo
Kagwirawo