How to Upload

To have your music promoted on our website, Send us an Email Everything is free.


Kagwirawo

Badilisha - Jose Chameleone

[Intro]I got to go- badilishaAnd let you go, (Chorus)Unaniumiza sana ninateseka,Ndani moyoni mimi naumwaI got to go- kangendeAnd let you go sitawezaNimevumilia sana,Hutaki change,Naona umeshindwa,KubadilishaI got to go KankupoweAnd let you go Mukwano onumya[Verse 1]Pete ya harusi ninayo kidole,Nilikupenda but baby sorry,Utapata mwengine dont you worry.......ahaaaaWatoto tumezaa tunao tayari,Tulipanga mi na we mileli,Lakini ni nini nini unanichanganya,Maisha wote wawili tulipanga,Shida ni nyingi hatujakosana,Haingekua hivi unapendwa, na hupendi mpenzi tu'achane na hivyo hilivyo(Chorus)[Verse 2]Hi ni bahati unaempenda sana popote alipo,Aitwe tapeli, hajakula za muntu anakula zake zipo,Nipe changu na mi nikupe chako,Kama hunipendi hili ni vako,We got alot of issues to settle,Pamoja tuende mu settle,Love me baby i will love you back,Scratch my back i will scratch your back,Not this way unapendwa, hunipendi!(Chorus) [Verse 3]Tuliamua tuwe together,Mimi na we tuwe forever,Ahadhi yetu ya mimi nawewe na watoto wetu,Tupambane shida zote za nyumbani tuzimalize now!Girl every woman for a man,Love me i love you back and thats what ah gwaan,Girl it's another tune done,Mi sing a bagga tunes and this one go along,Girl never worry about itEvery time i come with a bag of sweetnessThis one Paddy, Chameleone and the music empire(Chorus)
Kagwirawo
Kagwirawo